Suluhisho za kifedha Zinazokufaa kwa Kila Hatua ya Kifedha
Tunakupatia njia rahisi zakuweza kufanikisha hilo. Tunafanya huduma za benki za kila siku ziwe rahisi na zisizokuwa na msongo, kwa mbinu zinazosaidia kudhibiti matumizi yako na njia rahisi za kuweka akiba
Omba MrejeshoBusiness Banking Experience

Benki ya Mtandaoni ya Exim
Ikiwa unatafuta huduma za benki kwa urahisi, huu ni uzoefu mpya wa kusimamia fedha zako zote za binafsi na Benki ya Exim Mtandaoni inayokuwezesha kufanya miamala yako yote ukiwa popote na wakati wowote
Vipengele na Manufaa
- Muhtasari wa Akaunti: Tazama na fuatilia kwa urahisi akaunti na amana zako zote katika sehemu moja. Angalia salio, fuatilia miamala na endelee kupata taarifa.
- Kuhamisha Fedha: Hamisha fedha kwa urahisi kati ya akaunti ya Benki ya Exim na benki nyingine.
- Akaunti ya simu: Hamisha fedha kwa urahisi kwenye akaunti za simu
- Malipo ya Bili: Lipa bili na matumizi yako kwa urahisi. Kuanzia maji (DAWASA) hadi Kisimbuzi (DSTV) na fuatilia gharama zako kwa urahisi.
- Pata Taarifa: Pata taarifa za akaunti yako kwa urahisi. Tafuta na pakua taarifa ya hadi mwaka mmoja bila gharama ya ziada.
- Uhamishaji Ulioratibiwa: Panga tarehe na maelekezo ya kuhamisha fedha kwa siku zijazo. Weka malipo yako kiotomatiki na uendelee kuwa mwenye kujipanga.
- Miamala Inayojirudia na Walengwa: Okoa muda kwa kuhifadhi miamala yako ya uhamishaji unayofanya zaidi na sajili walengwa. Fuatilia miamala inayojirudia kwa urahisi.
- Rahisi Kusajili: Jiandikishe kwa ajili ya Huduma ya benki Mtandaoni bila malipo yoyote. Pakua Exim Online Banking App kutoka App Store au Play Store na ufurahie utumiaji salama wakati wowote, mahali popote.

Fill This Form For Inquiry:



