KARIBU KATIKA BENKI YA EXIM TANZANIA

Tunadhihirisha Ubora Katika Huduma za Benki Kupitia Kuwajibika Kwetu Katika Huduma, Ubunifu, na Ujengaji Uwezo wa Jamii

Wasiliana Nasi

Mageuzi Yanayovuka Mipaka.

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1997, Benki ya Exim imekuwa miongoni mwa watoa huduma za kifedha wanaoongoza nchini Tanzania, Comoro, Djibouti, na Uganda, ikiwa na ofisi ya uwakilishi nchini Ethiopia. Kuwapo kwetu kwa mawanda mapana kunaonesha kujizatiti kwetu katika kutoa masuluhisho ya masuala ya kifedha ulimwenguni, kuimarisha nafasi yetu katika utoaji huduma za benki.

Kwetu, mafanikio yanadhihirishwa na athari tunazosababisha kwa wateja, jamii, na washirika. Iwe ni suluhisho kwa mtu binafsi au suluhisho la changamoto kubwa kwa mashirika, tumedhamiria kutoa huduma za jumla ambazo zinaendana na mahitaji ya kipekee ya kila mteja.

Tanzania

Tanzania

Uganda

Uganda

The Republic of Djibouti

The Republic of Djibouti

The Union of Comoros

The Union of Comoros

Ethiopia

Ethiopia

exim-coverage-map

30+

Matawi

45+

ATM's

2003+

Mawakala

TIMU YETU YA UONGOZI

Timu ya Uongozi wa Benki ya Exim Tanzania

Kutana na wafanyakazi mahiri wanaounda timu ya kimataifa ya Benki ya Exim. Wataalamu wetu wanapenda sana kutoa masuluhisho binafsi ya huduma za benki yanayoendana na mahitaji yako ya kipekee.

KANUNI ZINAZOONGOZA

Dhamira na Maadili yetu

Fahamu kuhusu dhamira na maadili ya msingi ambayo yanaongoza kila nyanja ya shughuli zetu. Katika Benki ya Exim, mafanikio sio tu katika ukuaji wa kifedha bali pia katika kusababisha matokeo chanya kwa wateja, jamii, na washirika wetu

mission_values

Dira Yetu

Kuwa benki inayopendwa

Dhamira Yetu

Tumedhamiria kuendelea kuwa Benki ya Tanzania yenye ubunifu inayotoa huduma za viwango vya Kimataifa.

1
Unyumbufu
2
Uhakika
3
Uadilifu
4
Utaalamu
5
Kufanikisha mahitaji ya wateja
mission_values

KWA NINI UCHAGUE BENKI YETU

Ni mshirika wako katika Mafaniko ya Kifedha

Tunaendelea kubuni huduma za kifedha zinazolingana na mahitaji yako ya kipekee. Kuhudumiwa na timu yetu ya wataalamu wenye uzoefu katika sekta ya benki na usimamizi wa fedha, uko katika mikono salama.

Kifurushi Jumuishi cha Bidhaa

Tunatoa kifurushi kamili cha bidhaa na huduma zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya watumiaji binafsi, biashara, mashirika, na taasisi.

Kuwapo Ulimwengu na Utaalamu

Nufaika na kuwapo kwa wataalamu wakubwa wa kimataifa wa Benki ya Exim, wanaotoa uelewa wa kina wa masoko mbalimbali na kuwezesha shughuli za kifedha za kimataifa.

Masuluhisho Binafsi ya Huduma za Benki

Furahia masuluhisho binafsi ya huduma za benki yaliyoundwa ili kushughulikia malengo na mahitaji maalumu ya kifedha, kufanikisha mbinu inayolenga huduma na mteja.

Ubunifu na Teknolojia

Uzoefu unaojumuisha teknolojia na ubunifu katika huduma zetu za benki, unatoa masuluhisho mwafaka na yenye ufanisi kwa mahitaji yako ya kifedha.

Mbinu Inayomlenga Mteja

Pata huduma zinazomlenga mteja ambapo kuridhika kwako ni kipaumbele, huduma bora na msaada unaopatikana ili kushughulikia maswali na matatizo yako.

Community Engagement.

Discover how Exim Bank is actively involved in corporate social responsibility (CSR) initiatives across our international network

At Exim Bank, we believe in more than just financial success; we are committed to making a meaningful impact on the communities we serve. Our Corporate Social Responsibility (CSR) initiatives are carefully crafted to address various social, environmental, and economic challenges. Here’s a glimpse into how Exim Bank gives back:

Scholarship Initiatives.

Scholarship Initiatives.

Sponsors scholarships for deserving students, fostering a culture of learning & empowerment.

Health and Wellness Initiatives.

Health and Wellness Initiatives.

We organize and support medical camps and providing free health check-ups.

Financial Education Workshops.

Financial Education Workshops.

Workshops to enhance with the knowledge needed for informed financial decisions.

Microfinance Initiatives.

Microfinance Initiatives.

Exim Bank supports microfinance projects that empowering women entrepreneurs.

financial-report
download

Year:2023

Exim Bank Annual Financial Report

View Other Reports

Financial Strength.

Explore our robust financial performance and stability across multiple countries. Exim Banks strong asset base and regional presence make us a reliable financial partner.

Learn more
demo

Your Trustworthy Financial Partner.

At Exim Bank, we take pride in showcasing our robust financial performance and unwavering stability that spans across multiple countries. Our strong asset base and extensive regional presence position us as a reliable and steadfast financial partner for individuals, businesses, and institutions alike.

TUZO & PONGEZI

Tuzo na Utambulisho katika Benki ya EXIM Tanzania

Pata maelezo kuhusu tuzo na pongezi ambazo tumepokea katika tasnia ya benki katika nchi mbalimbali. Tunajivunia mafanikio yetu, ambayo yanaonesha kujizatiti kwetu katika ubora.

Winner 2023

Most Innovative Banking Brand Tanzania

Awarded by Global Brands Magazine

Winner 2024

Employee Engagement Award

Presented by ATE at the EYA Awards

FOMU & MIONGOZO

Explore Our Helpful Documents.

Tumia nyaraka mbalimbali kukuongoza katika shughuli zako za kifedha. Fomu na miongozo yetu imeandaliwa kwa ajili ya kukusaidia katika mahitaji yako.

2025 Audited Financial Statement - BOT Format

RFP for external independent review for risk and compliance.

Audited Financial Statement - FY 2025

Wakala Application Form.

phone with app display

Huduma zote kwenye kiganja cha mkono wako

Pakua Programu Sasa!

Programu yetu ya simu ya mkononi hutoa ufikiaji rahisi wa fedha zako, kukuwezesha kufungua na kudhibiti akaunti zako kwa urahisi, kuhamisha fedha, kulipa bili, na kukaa katika kitanzi na masasisho ya miamala ya wakati halisi.

apple-store-download-now-logoplay-store-download-now-logo