Suluhisho za kifedha Zinazokufaa kwa Kila Hatua ya Kifedha

Tunakupatia njia rahisi zakuweza kufanikisha hilo. Tunafanya huduma za benki za kila siku ziwe rahisi na zisizokuwa na msongo, kwa mbinu zinazosaidia kudhibiti matumizi yako na njia rahisi za kuweka akiba

Omba Mrejesho

Muhtasari wa Akaunti ya Supa Woman

Ubora katika Huduma za Kibenki.

Akaunti ya Supa Woman inarahisisha malipo, ina viwango vya chini vya kutoa fedha ukitumia kadi yako ya benki. Unaweza kufanya manunuzi kwa urahisi mtandaoni au mahali popote.

Akaunti ya Supa Woman

Akaunti ya Supa Woman

Ukiwa na Akaunti ya Supa Woman, unapata Bima ya maisha bure na ufikiaji wa mikopo ya dharura wa hadi 90% ya kiasi kilichopo kwenye akaunti yako, pamoja na dhamana, mikopo ya nyumba, na mikopo ya biashara. Unaweza kufungua Akunti hii kwa TZS na USD, na unaweza hata kufungua akaunti ya pamoja na wanawake wengine hadi wanne wenye malengo sawa. Malipo yanaweza pia kufanywa kwa hundi.

Sifa & Faida

  • 1
    Urahisi wa kufanya malipo na viwango vya chini vya utoaji wa fedha ukitumia kadi yako ya benki
  • 2
    Fanya shughuli kwa urahisi kutoka popote duniani, kupitia simu yako, mtandaoni, na kupitia mawakala
  • 3
    Unaweza ifikia Akunti yako masaa 24 kwa siku, siku 7 kwa
  • 4
    Fanya ununuzi kwa urahisi mtandaoni au mahali popote
  • 5
    Ukiwa na akaunti hii, unapata bima ya maisha ya bure
  • 6
    Kupitia akaunti hii, unaweza kupata mikopo ya dharura ya hadi 90% ya kiasi kilichopo kwenye akaunti yako au dhamana, mikopo ya nyumba, na mikopo ya biashara.
  • 7
    Akaunti zinaweza kufunguliwa kwa TZS na USD. Riba yako inakokotolewa na kulipwa kwa kipindi chako cha
  • 8
    Unaweza kufungua akaunti ya pamoja na wanawake wengine hadi wanne wenye malengo sawa. Malipo yanaweza kufanywa kwa hundi.

Mahitaji

  • 1
    Ni kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 18 na zaidi
  • 2
    Picha mbili za ukubwa wa pasipoti
  • 3
    Kitambulisho (Pasipoti, NIDA, kadi ya utambulisho ya Zanzibar, Kitambulisho cha Mchaguzi, au Leseni ya Udereva)
card

Fill This Form If You Wish To Open An Account:

phone with app display

Huduma zote kwenye kiganja cha mkono wako

Pakua Programu Sasa!

Programu yetu ya simu ya mkononi hutoa ufikiaji rahisi wa fedha zako, kukuwezesha kufungua na kudhibiti akaunti zako kwa urahisi, kuhamisha fedha, kulipa bili, na kukaa katika kitanzi na masasisho ya miamala ya wakati halisi.

apple-store-download-now-logoplay-store-download-now-logo