Huduma za Fedha Kwenye Biashara
Exim Bank inatoa suluhisho mbalimbali za Fedha za Biashara (Structured Trade Finance) na Mtaji wa Uendeshaji kupitia mtandao wetu wa kimataifa, uwepo wa kikanda, na ushirikiano na washirika wa biashara wa ndani na wa kimataifa pamoja na kampuni tanzu. Benki hii inaahidi kuhakikisha biashara yako inaendelea kuendeshwa kwa ufanisi na kwa uthabiti ndani ya mzunguko wa biashara.
Omba MrejeshoBusiness Banking Experience

Barua ya Mkopo
Utaalamu wetu katika kuandaa barua za mikopo pamoja na uelewa wetu wa kina wa masoko ya ndani huipa biashara yako mwelekeo. Tunaweza kupanua ugharimiaji wa kuagiza bidhaa kupitia Barua za Mikopo, ambazo zinakubalika duniani kote na kuzipa uzito kwa utaratibu madhubuti wa ugharimiaji wa biashara.
Kama wanachama wa moja kwa moja wa SWIFT, tuna utaratibu wa benki mwakilishi na benki za ulimwenguni kote. Kwa biashara inayohitaji huduma hiyo, tunaunda barua za mkopo,
Wasiliana na tawi la Benki ya Exim lililo karibu nawe au ofisi yetu ya shirika. Timu yetu ya huduma kwa wateja itawasiliana nawe haraka iwezekanavyo.
Import Letters of Credit (ILC)
Our customers enjoy accessing goods and services under credit terms from their suppliers globally through an irrevocable undertaking of payment by Exim Bank. The Bank has relationships with various banks all over the World and using this chain be able for our clients easier to access and import raw materials, goods and services without hustle from different continents.

Fill This Form For Inquiry:



