Suluhisho za kifedha Zinazokufaa kwa Kila Hatua ya Kifedha
Tunakupatia njia rahisi zakuweza kufanikisha hilo. Tunafanya huduma za benki za kila siku ziwe rahisi na zisizokuwa na msongo, kwa mbinu zinazosaidia kudhibiti matumizi yako na njia rahisi za kuweka akiba
Omba MrejeshoPersonalized Banking Experience
EXIM BANK WAKALA
Pata huduma za kibenki kupitia Exim Wakala karibu nawe
Exim Bank Wakala inatoa huduma rafiki za kibenki kupitia mawakala wake walio karibu nawe. Zifuatazo ni huduma zinazotolewa na Exim Wakala
- Kuweka Amana: Unaweza kuweka fedha kwenye akaunti yako ya Benki ya Exim
- Kutoa Fedha: Kutoa fedha kwa urahisi katika akaunti yako ya Benki ya Exim
- Kuhamisha Fedha: Hamisha fedha kutoka katika akaunti tofauti za Benki ya Exim.
- Kuuliza salio: Angalia salio la akaunti yako.
- Taarifa Fupi: Pata taarifa fupi ya miamala katika akaunti yako.



