INSIGHT

EXIM BIMA FESTIVAL

Mon Nov 04 20246:57:34 AM
Share:
EXIM BIMA FESTIVAL

Benki ya Exim, ikishirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Bima nchini, wanakuletea EXIM BIMA FESTIVAL 2024.


MAHALI: Gymkhana,

TAREHE: 28/09/2024


Njoo ushuhudie michuano ya mpira wa miguu kwa wanaume ambapo timu zitakazochuana ni pamoja na Bongo Movie FC, Wasafi FC, Exim Bank FC na nyingine nyingi...


Kutakuwa na michezo mingine mingi ya watu wazima, na eneo maalumu la michezo ya watoto.


HII SI YA KUKOSA!!!

Recommended News & Insights